Habari Mpya

Sunday, August 23, 2015

Baada ya msoto wa wiki nzima matunda tumeyaona hongera TEAM 88 2015 (MSJ)

Wanafunzi kutoka MSJ walioshiriki katika monesho ya nanenane (TEAM 88) wakisikiliza maneno mafupi kutoka kwa mkufunzi wa chuo hiko Leonard Kondobole

Wanafunzi kutoka MSJ walioshiriki katika monesho ya nanenane (TEAM 88) wakisikiliza maneno machache kutoka kwa mkufunzi wa chuo hiko Cathbert Msemo aliyesimama.

Wanafunzi kutoka MSJ walioshiriki katika monesho ya nanenane (TEAM 88) wakisikiliza maneno mafupi kutoka kwa Rais wa serikali ya wanafunzi MOSJOSO Kelvin Philipo aliyesimama

Wanafunzi kutoka MSJ walioshiriki katika monesho ya nanenane (TEAM 88) wakisikiliza maneno mafupi kutoka kwa mwalimu mlenzi na pia ni mratibu wa matukio chuoni hapo Lazaro Mlyuka aliyesimama

Wanafunzi kutoka MSJ walioshiriki katika monesho ya nanenane (TEAM 88) wakisikiliza maneno mafupi kutoka kwa mkuu wa chuo hiko Agustine Nongwe hayupo pichani

Wanafunzi kutoka MSJ walioshiriki katika monesho ya nanenane (TEAM 88) wakisikiliza maneno mafupi kutoka kwa mkuu wa chuo hiko Agustine Nongwe hayupo pichani

Wanafunzi kutoka MSJ walioshiriki katika monesho ya nanenane (TEAM 88) wakitazama vifaa vya utalii ndani ya maji maarufu ka BOT

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Baada ya msoto wa wiki nzima matunda tumeyaona hongera TEAM 88 2015 (MSJ) Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top