Ivory Coast
wamekuwa mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015 baada ya
kufuinga Ghana kwa penalti 9 - 8 katika mchezo wa fainali ulichezwa katika
uwanja wa Estadio de Bata huko Equatorial Guinea.
Mlinda Mlango wa Ivory Coast Boubacar Barry ambaye alikuwa
hapangwi mara kwa mara lakini ndiye aliyeibeba Ivory Coast baada ya kudaka
penati na kufunga penalti ya mwisho baada ya kutoka dakika 120 bila kufungana
ndipo mikwaju ya penati ikachukua nafasi


0 comments:
Post a Comment