KWA
WAHITIMU WA:-
-
MOROGORO
SCHOOL OF JOURNALISM
-
DAR
ES SALAAM SCHOOL OF JOURNALISM
-
ROYAL
COLLEGE OF TANZANIA
Wahitimu wote wa vyuo
tajwa hapo juu waliohitimu kati ya 1997 –
2014 wanatakiwa kufika vyuoni kwao na kuchukua vyeti vyao kabla ya tarehe 30/07/2014.
Yeyote atakaye
chelewa kufanya hivyo, cheti hakitatolewa bila gharama kuanzia tarehe 01/08/2014
Yeyote atakayesoma
tangazo hili awaarifu wenzake na kwa maelezo zaidi kila mwanafunzi awasiliane na Mkuu wa chuo chake.
Morogoro
School of Journalism
0713 - 073408
Dar
es salaam School of Journalism
0713 -
552685
Royal
college of Tanzania 0713
- 390903
0 comments:
Post a Comment