Picha za baadhi ya matukio ya safari ya wafanyakazi wa Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) iliyo husisha Serikali ya wanafunzi MOSJOSO, kwaajiri ya semina elekezi ya Uongozi, pia safari hii ilitumika kutangaza Chuo katika Mkoa wa Pwani haswa wilaya ya Bagamoyo.
Sunday, July 27, 2014
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment