MKULIMA KIJIJI CHA MTIMBIRA ULANGA MOROGORO WA SASA TURUDI NYUMBANI
Mkazi
wa mji mdogo wa Mtimbira wilaya ya Ulanga mkoa wa Morogoro akiwa
amewapakiza watoto wawili nyuma ya basikeli wakati akitokea shamba bara
baada ya kumalizika kwa shughuli za kilimo za kutwa kijijini
0 comments:
Post a Comment