Habari Mpya

Sunday, February 21, 2016

Picha za uchaguzi. viapo


Katibu mkuu wa serikali ya wanafunzi msj MOSJOSO akitoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa mawaziri kuapishwa chuoni hapo 19/2/2016 .picha na Timotheo Lupembe

Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari Morogoro (MSJ) wakifuatilia zoezi la kuapishwa kwa mawaziri wa serikali ya wanafunzi MOSJOSO siku ya ijumaa 19/2/2016.Picha na Timotheo Lupembe

Makamu wa urais (kushoto) Gress Nicholausi akiteta jambo na katibu mkuu Kadiri Ramadhani wakati wa zoezi la kuapishwa mawaziri 19/2/206 .Picha na Timotheo Lupembe

Waziri wa fedha na mipango Stella Patrick akiapa kwa nafasi aliyoteuliwa 19/2/2026.Picha na Timotheo Lupembe

Naibu waziri wa Elimu MSJ Eliasi Eliakhim akila kiapo .picha na Timotheo Lupembe


Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Chuo cha uandishi wa habari Morogoro Mh Timotheo Lupembe akitoa ufafanuzi wakati wa zoezi la kuapishwa kwa rais na makamu urais 12/2/2016.Picha na Gelvas


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Picha za uchaguzi. viapo Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top