mwanzo katika maandalizi kabla ya safari |
maombi yakiongozwa na Naibu waziri wa ulinzi MSJOSO |
TAYARI KWA KUONDOKA |
wakaanza kuaga ndugu, jamaa, na marafiki mwanzo wa safari |
katika kila jambo lenye Amani furaha utawala pasipokujali ni mkubwa au mdogo atajaribu kuonyesha furaha yake... na hivi ndivyo ilivyokuwa ndani ya gari wakati wa safari ikiendelea |
spidi 120 |
raha ya magari ya kukodisha... mda wowote mkitaka kuchimba dawa ruksa!!!! katikati ya safari RUVU |
safari salama chini ya uongozi wa Coordinator of Studies |
tukakafika Dar, salama... na kituo cha kwanza cha mafunzo... NEW HABARI COOPARATION |
mwenyeji wetu akihakikisha tunatoka na jambo jipya kuhusu gazeti |
wenyeji wakisaidiana kujibu maswali magumu toka kwa wana MSJ |
tukapelekwa kitengo cha uandaaji wa habari za michezo..... |
ndani ya production room, (LAYOUT) |
mkuu wa kitengo cha ICT akijitaidi kujibu na kufafanua maswali ya wanachuo |
tulimalizia ziara ya gazeti kwa kutembelea waandaji wa gazeti la THE AFRICAN humo full kingereza... ila maswali yakawa kama mvua... |
KITUO CHA PILI, CLOUDS MEDIA, dada Joyce akijitaidi kujibu maswali yaliyokuwa yakija kwa mfululizo |
ndani ya kitengo cha uandaaji wa vipindi vya video na matangazo... Clouds TV |
ufafanuzi wa utumizi wa video Program tofautitofauti |
maswali yalikuwa mengi kama watu wamejipanga namna ya kuuliza maswali.... |
hapa ndipo sehemu ambayo panatengenezewa vipindi vya TV, kwa wanao angaliaga CLOUDs watapajua hapa |
duh, ghafla akakatiza BABA JOHNiiii.... na kupigwa na swali la kichwa.. (kwanini anatumika kuharibu lugha ya kiswahi??? kwa kugeuza utamshi wa baadhi ya maneno kama... omeona BHANA! |
ilimsumbua sana kujibu swali hilo... ila aliwezakutumia siasa flani kututuliza.. tukapoa kwasababu alikuwa anaingia kuendesha kipindi |
waliokutana na rafiki zao tangu enzi ya kindagaten (chekechea) ikawa furaha sana |
wataamu wakiwa bize kuonyesha namna ya wao wanavyoanda vipindi na kufanya mambo chroma |
kila mmoja akisubiria kama atapata jibu la swali lake alilokuwa nalo kichwani mwake |
mwisho wa siku tukamalizia ufukweni kuyaweka vizuri, mambo tuliyoyapata siku nzima,.... hapa Naibu Waziri waelimu kapata muda wa kupumzika.... |
huu ni mwonekano wa bahari ya Hindi, katika mji wa Bagamoyo |
waliojua kutumia maji ya bahari walionyesha ufundi wao... |
hakuna aliyedhania kama huyu mrembo alikuwa anajua kuogelea... |
wapo waliyoogelea na walioishia kuchezea maji... |
mapozi ya kibaharini ndani ya nguo za ufukweni... |
baada ya kutoka kuoga watu wakarefresh mind zao kwa kuburudika na muziki... kabla ya msosi wa jioni |
chezea mduara wewe..... |
kama utani watu wakaburudika kama wapo club... kumbe mziki wa SIMU |
baada ya kuoga.... msosi wa jioni... full kujichagulia... SAMAKI, au KUKU, au NINI we sema utapewa... |
wa chips kuku walikuwepo pia |
asubuhi kukakuchwa... picha ya mahali tulipo jilaza usiku mzima |
he! kwa watu.. kwa watu! ghafla gari likagoma kuwaka na siyo kawaida |
sukuma wee..! lakini wapi.... |
duh! ikabidi tuambizane kwa yeyote aliyechukua au kuokota chochote arudishe kimyakimya pale alipokichukua... |
kuja kusukuma... kidogo tu! likawaka na safari ikaanza.. |
katika makumbusho ya KAOLE... mwongozaji akitupa maelezo kwa ufupi... |
wakusikiliza, kurekodi kwa simu nao walikuwa bize kweli... ili wasipitwe na kitu |
wakuandika nao haoo... |
wa taalamu wa video walijitaidi kwa hali na mali hawakosi tukio... |
ziara ikaanzia katika kisima cha maajabu... watu bize kushuhudia... |
soma kibao hichi |
na hapa ndipo walipozikwa |
kaburi la mtabiri |
safari kwenda kuona mikoko... katika bandari ya kale ya Kaole.. |
maelezo kuhusiana na kufa kwa bandari hiyo |
soma, kuijua Kaole |
kuwasili katika bwawa la mamba |
maelezo kuhusiana na Mamba |
kanisa lilipoingilia... maelezo kuhusiana na hapo |
picha ya pamoja katika kumbukumbu hiyo ya kanisa lilipoingilia |
wapo waliojua umuhimu wa sehemu hiyo... na kufanya maombi kwa imani |
mbuyu uliopandwa na wahasisi wa kanisa la RC hapa TZ |
mahali palipolazwa mwili wa living stone kutokea Zambia... kwa safari ya kwenda Uingereza kwa mazishi yake |
jengo la kale la kanisa la RC... |
waliotaka ukumbusho |
safari ikafikia mwisho... kuwasili katika Chuo Cha Uandishi wa Habari Morogoro |
watu wakiawa wanatawanyika makwao |
SHUKRANI ZIWAENDE MSJ STAFF, WIZARA YA ELIMU - MOSJOSO, na
WANAFUNZI WOOOTE WA MSJ 2013@
0 comments:
Post a Comment