maandalizi ya mabango ya ujumbe |
kuwasili kwa wageni toka Muslim, Royal, nawengine toka vyuo mbalimbali |
tayari kwa mandamano |
maandamano yakaanza taratibu... |
maandamano yameshchukua kasi mtaani |
mapokezi ya maandamano |
mapokezi ya maandamano na mgeni rasmi |
kuanza kwa sala |
mwonekano wa ndani.. |
ufunguzi na ukaribisho na Mkuu wa chuo cha Uandishi wa habari Morogoro |
kiongozi wa msafara toka chuo cha kiislam (MUM) |
mada kuwasilishwa toka chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) |
mapokezi ya wageni ukumbini chini ya uongozi wa serikali ya wanafunzi MSJ |
utambulisho mfupi kwa wageni na wenyeji kabla ya kuingia ukumbini |
Raisi wa chuo MSJ akisalimiana na Raisi wa chuo cha Royal |
mkuu wa chuo cha MSJ, akisalimiana na Raisi wa wanafunzi Chuo cha Royal |
kabla ya kuingia ukumbini, Mkuu wa chuo akiwa anafanya brainstorming kwa kilichosalia, pamoja na baadhi ya viongozi wa serikali ya wanafunzi |
coordinator of study wa MSJ akitoa salam zake |
Raisi wa wanafunzi Royal, akitoa salam zake |
waalimu toka vyuo mbalimbali |
Raisi wa wanafunzi toka Royal, (kushoto) anayefuata ni RAisi wa wanafunzi MSJ, na mwisho kulia ni Makamu wa Raisi MSJ |
mtoa mada toka MUM |
chai kwanza mengine yatafuaata |
mchangia mada toka MUM |
mtangazaji wa TBC, mwanafunzi wa MUM |
Raisi wa wanafunzi Royal, akiwasilisha mada |
waziri wa habari MSJ akichangia mada |
wachangiaji walichangia kwa hari yote, mbele ya waandishi mbalimbali |
waandishi walitakakupata neno toka kwa Mkuu wa chuo cha MSJ |
Raisi mstaafu MSJ, akichangia mada |
naibu waziri wa habari MSJ akichangia mada |
waziri wa katiba na sheria MSJ, akichangia mada |
Raisi wa wanafunzi, Msj akichangia mada |
mwakilishi toka DSJ, akiwasilisha mchango wao |
mgeni rasmi, akifanya wind up ya mada na michango yoote |
meza kuu, pamoja na wawakilishi toka Royal (dar) |
meza kuu, pamoja na wawikilishi toka chuo cha kiislam (MUM) |
meza kuu, pamoja na uongozi wa wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari Morogoro |
mda uliobarikiwa kipekee.... chakula |
mwisho wa yote michezo na burudani |
0 comments:
Post a Comment