Home > Untagged BAADHI YA PICHA ZA MAAFARI YA 16 YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI BAADHI YA PICHA ZA MAAFARI YA 16 YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI Mkuu wa chuo Augustine Nongwe akiwa na naibu waziri wa habari vijana utamaduni na michezo mb mh Amosi Makala wakienda kwenye ofisi za chuo Naibu waziri wa habari vijana utamaduni na michezo mb Mh Amosi Makala akitia saini kwnye daftari la wageni ofisini kwa mkuu wa chuo wanafunzi waliomaliza certificate ya uandishi wa habari wanafunzi waliomaliza diploma ya uandishi wa habari
0 comments:
Post a Comment